Mwanzo » » MAMA YAKE NA DIAMOND PLATNUMZ AJITUPIA KATIKA PRODUCT YA MAVAZI YA DIAMOND(WCB).

MAMA YAKE NA DIAMOND PLATNUMZ AJITUPIA KATIKA PRODUCT YA MAVAZI YA DIAMOND(WCB).

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 5 April 2014 | 16:20

Kwa hapa bongo hakuna mzazi wa msanii anayepiga pamba za ukweli kama mama yake platnum. Asante Diamond kwa upendo kwa mama yako, wote tunatakiwa kuiga mfano mzuri wa kuwatunza wazazi. Unamjua msanii gani mwingine anayewatunza wazazi wake kwa hapa bongo?
Photo: Kwa hapa bongo hakuna mzazi wa msanii anayepiga pamba za ukweli kama mama yake platnum. Asante Diamond kwa upendo kwa mama yako, wote tunatakiwa kuiga mfano mzuri wa kuwatunza wazazi. Unamjua msanii gani mwingine anayewatunza wazazi wake kwa hapa bongo?


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa