Kupitia tovuti ya Rihannavault.com wameweka picha ambazo zinamuonyesha mwimbaji wa Marekani ambaye account yake ya Instagrame imefungwa kwakutupia picha za utupu 'Rihanna' akiwa kavaa vazi ambalo linamuonyesha sehemu ya makalio yakiwa wazi.
Je hii ni fashion mpya na dada zetu waige!?
© 24Hours Mix | Infotainment site
Je hii ni fashion mpya na dada zetu waige!?
© 24Hours Mix | Infotainment site
Post a Comment