Mwanamuziki Rehema Chalamila alimaarufu kama Ray-C kwa taarifa zailizotufikia ni mgonjwa na hali yake sio nzuri na kwa mujibu wa waliofika hospitalini ya Mwanyamala jijini Dar es Salaam ni kuwa hali yake aliyonayo haijafahamika ni nini kinamsumbua na kulizungumzia hilo na pale tu mganga anayemhudumia atakasema ni nini kinamsumbua Ray-C.
Kikubwa kwasasa ni watanzania kwa pamoja kumuombea apate afuu na awe mzima kawa awali.
GET WELL SOON ARY C.
Post a Comment