NEY WA MITEGO |
Kilichofuata ni kuwa NEY alipuuza ujumbe ule maana alihisi ni uzinguaji tu wa mashabiki na baada ya muda alipelekewa babua ile anakoishi MANZESE jijini DAR ES SALAAM na NEY amakiri kupokea barua ya kupewa ovyo na BASATA lakini alishangaa maana BASATA ina mambo mengi ya maana katika sanaa ya kutazama na kuyashughulikia kikamilifi na kubwa zaidi ni wizi wa kazi za wasanii jambo ambalo linadidimiza wasanii zaidi kuliko kitu chocho na wao wanaangazia milegezo na istoshe kuhusu mimi kuvaa vile sio mimi pekee ni wasanii wengi wanao vaa hivyo tena hata zaidi ya mimi.
Post a Comment