DIAMOND NA DAVIDO KATIKA MKAKATI WA MY NUMBER ONE REMIX STUDIO |
Msanii anayeongoza kwa skendo za kuwa katika mahusiano ya mastar kibao wa kike Nasib Abdul 'DIAMOND PLATUMZ' kuja na remix ya ngoma yake latest inayondelea kufanya vizuri katika game la muziki wa kizazi kipya yaani BONGO FLEVA kwani mpaka sasa DAVIMDO na DIAMOND wako studio kukamilisha mzigo huo ambao tunaitazamia kumpeleka DIAMOND na muziki wa Tanzania mbali zaidi katika uwakilishai kimuziki.
Post a Comment