|
DIAMOND PLATNUMZ |
|
ALICHOKIANDIKA DIAMOND |
Msanii diamond ameyasema hayo kupitia mtandao wa kiaamii alipokuwa akimpongeza rafiki wake wa karibu baada ya kupata mtoto na alisema kuwa hakuna yeyote mwenye mapenzi ya kweli ila tu kikubwa wamuache atafute pesa na ni wazi alikuwa akiwataja WEMA na PENNY.
Post a Comment