Mwanzo » » JANJARO AFUKUZWA MTANASHATI ENTERTAINMENT

JANJARO AFUKUZWA MTANASHATI ENTERTAINMENT

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 23 October 2013 | 21:48

JANJARO
Kwa msanii Dogo Janja a.k.a Janjaro hili limekuwa ni tukio la kujitokeza mara mbili ambapo madai ya wahusika kumfukuza katika Managements mbili tofauti kubwa ni kuwa wanashindwana kitabia ambapo kwa mara ya kwanza Janjaro alifukuzwa na management ya Tip Top Cnnection kwa maana tabia za msanii Janjaro zimekuwa zikiwa shinda na hiyo ni kwa mujibu wa Mtanashati Entertainments kufunguka hivyo mara baada ya kuzagaa kwa taarifa za kuwa Janjaro amefukuzwa Mtanashati Entertainment iliyoko chini na Ostaz Juma Na Msoma
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa