Mwanzo » » NOORAH: HATA MASHABIKI WAKUPENDEJE KAMA HUNA MAFANIKIO KATIKA MUZIKI NI BORA KUACHA

NOORAH: HATA MASHABIKI WAKUPENDEJE KAMA HUNA MAFANIKIO KATIKA MUZIKI NI BORA KUACHA

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 16 October 2013 | 09:11

NOORAH A.K.A BABA WA MAMAZ


Mkali wa michano ya haina yake Noorah A.K.A Baba wa Mamaz ameyasema hayo wakati akizungumza na kituo cha Rado cha Mkoa wa ARUSHA MJ FM katika kipindi cha DUNDO wakati akitoa maelezo ya kanini amekaa kimya kwa muda mrefu au inamaana kukaa kwake kimya kunamaanisha yeye kuacha muziki.


Akitoa maelezo kwa kina Noorah ameongeza kusema kuwa kwa sasa katika muziki wa kizazi kipya kuna wasanii ambao ukienda kunya maisha yao hasa wale wanaonekana mbele ya mashabiki kuwa wana mafanikio utakuta siri kubwa na hata wakati mwingine unakuta wali wemgi yale mafanikio sio ya kweli ni mapaicha picha tu hakuna ukweli wowote bali ni kutaka kuonekana kuwa kapata mafanikio kwa manufaa ya watu fulani.

Noorah amemalizia kwa kusema kuwa kwa sasa yeye mzuki ni kama burudani ya yeye kuburudisha mashabiki na yeye pia na sio kazi ya yeye kuiegemea kwa maana katika takwimu ya haraka haraka inaonekana katika sanaa ya bongo fleva kuna wasanii sio chini ya million lakini asilimia ya wasanii wenye mafanikio ni kama asilimia 2 tu jamabo ambalo linaashirilia kuwa kupata mafanikio katika muziki ni gumu sana kwa upande wa muziki na mtu kama una jambo lingina laziada la kupanya mtu huna budi kulifanya kuliko kuzidi kupoteza muda katika muziki kwani ukizingatia umri unaenda na maukumu yanadidi kuongezeka kwani hivi karibuni msanii Noorah alivuta jiko.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa