MCHUNGAJI TB JOSHUA |
Mchungaji maarufu kimataifa toka Nigeria ametabiri matukio hayo aliokuwa akiubiri jumapili ya juma lililoisha na alibainisha kuwa miongoni mwa wanaotabiriwa kutokewa na tukio la kutekwa alimuondoa rais wa Kenya na alihaidi utabiri wake jumapili ya juma hili na kusema atataja taifa la Rais atakayetekwa na alitabiri kuwa kuna club itakayolipuliwa hivyo kuna sababu ya kuwa makini na matukio yaliyotabiriwa kwa maana mchungaji huyu amekuwa mtu wa kutabiri na mambo hayo utokea.
Post a Comment