AKIWA NA KATIKATI YA WADADA UNAWEZA KUONA TATOO YAKE MPYA MKONO WAKE WA KULIS |
UNAWEZA KUONA TATOO KATIKA MKONO WAKE WA KULIA |
Hit Maker wa ngoma kibao zimachukua hiastoria ya kufanya vizuri zaidi katika anga ya burudani Nasib Abdul alimaarufu kama DIAMOND PLATNUMZ sasa ameamua kujiwekea tatoo katika mwili wake jambo ambalo ni wazi kuwa ni moja ya urembo katika mwili tu kwa sasa inaaminika kuwa mtu unapokuwa maarufu vitu kama hivyo unaweza kuvipenda automatic na kingine ni kuwa idadi ya wasanii wengi maarufu duniani kote wamekuwa wakijipamba kwa tatoo na miongoni mwa wasanii duniani ambao wakijitokeza leo hapa kama wako kifua wazi unaweza kudhani wamevaa ni LIL WAYNE na sasa swali kwa wadau wa muziki tunajiuliza ni kuwa kuna uwezekano DIAMOND PLATNUMZ atajiongezea tatoo zaidi??.
Post a Comment