ALBERT MANGWEAR(R.I.P) |
Msanii wa muziki wa kizazi kipya rapper Albert Mangwear(R.I.P) kama ngekuwepo siku ya leo angetimiza umri wa miaka kadhaa na pengine angekuwa namesha fanya vitu vingine zaidi kwa maana alikuwa ni mchango mkubwa katika muziki wa Tazania lakini siku kadhaa zilizo pita watanzania na wengine walioweza kufika toka sehemu tofauti za nchi nyinginne nje ya Tanzania alishiriki kumuaga msanii huyu Albert Mangwear so badala ya kusema HAPPY BIRTHDAY kwake badala yake tunaishia kusema R.I.P ALBERT MANGWEAR kwani kaishatutangulia.
Post a Comment