Mwanzo »
Habari mpasuko
» BREAKING NEWS: PAPII KOCHA NA BABA YAKE BABU SEYA WATAENDELEA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA MAISHA
|
PAPII KOCHA NA BABA YAKE BABU SEYA |
Mahakama ya fufaa kanda ya Dar es salaam imetupilia mbali ombi la rufaa la wastakiwa Papii Kocha na Baba yake Babu Seya na kukaza hukumu kuwa ya kifungo cha maisha ambapo wamekuwa rufaa mara kwa mara lakini kila walipokuwa wakifanya hivyo rufaa zao zimekuwa zikigonga wamba na hii ndio rufaa ya mwisho kusikiliza ambapo upande wa utetezi umeshindwa na hukumu kutoka ambapo baada ya hukumu hiyo Papii Kocha na Babu Seya watendelea kutumikia kifungo cha maisha.
Post a Comment