Mwanzo » » DIAMOND PLATNUMZ AKUTANA NA EMMANUEL ADEBAYO KATIKA HARUSI YA P-SQUARE TAZAMA MATUKIO

DIAMOND PLATNUMZ AKUTANA NA EMMANUEL ADEBAYO KATIKA HARUSI YA P-SQUARE TAZAMA MATUKIO

Imewekwa ma Unknown siku Monday, 18 November 2013 | 08:33

DAMOND PLATNUMZ NA PETER WA P-SQUARE KATIKA HARUSI YA PETER

Msanii wa Bongo
 fleva anayezidi kufanya vizuri katika tasnia ya muziki Afrika na Duniani kote akizidi kulitangaza taifa TANZANIA kimuziki akiwa katika ziara yake nchini NIGERIA ana kufannyiwa mahojiano katika vituo kadhaa maarufu nchini na moja ya kazi kubwa anyoendelea kuifanya ni pamoja na kukamilisha project yake na msanii toka nchini humo DAVIDO ambaye alikubali kazi na my number one na kuona wanaweza kufanya remix na kwasasa my number one remix audio iko tayari na kilicho katika maandalizi na matengenezo ni video ya my number one remix ambayo kwa asilimia kubwa inaonekana vipande vingi vya video hiyo ambayo itatotoka soon vimeshootiwa nchini NIGERIA na kuna uwezekano baadhi ya matukio ya harusi ya masanii anayekamilisha kundi la P-SQUARE ''PETER'' kutokea katika video ya my number one remix ambapo msanii DIAMOND PLATNUMZ toka TANZANIA alipata frusa ya kuudhuria harusi hiyo na kpia kukutana na mwansoka maarufu duniani EMMANUEL ADEBAYO.
EMMANUELE ADEBAYO NA DIAMOND PLATNUMZ

INYANYA NA DIAMOND PLATNNUMZ

ADEBAYO NA PETER

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa