Mwanzo » » DIAMOND PLATNUMZ HAKUWA AKITAMBULIKA KAMA MGENI KATIKA HARUSI YA PETER OKOYE.

DIAMOND PLATNUMZ HAKUWA AKITAMBULIKA KAMA MGENI KATIKA HARUSI YA PETER OKOYE.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday 27 November 2013 | 08:16

DIAMOND PLATNUMZ

HAPA DIAMOND PLATNUMZ AKIWA NA PETER OKOYE

HII NI PICHA AMBAYO DIAMOND ALIDAI KUWAONESHA JINSI YA KUCHEZA NGOLOLO
Baada ya taariza zenye sifa kede kede za kudai kuwa Diamond Platnumz ndiye alikuwa msanii na mgeni pekee aliye iwakilisha Tanzania katika harusi ya kufunga ndoa ya msanii wa kundi la P-Square hata kusadikika kuwa uwepo wake katika sherehe ile kama mgeni katika harusi hiyo kumbe ukweli ni kwamba P-Square hawakuwa wakimfahamu wala hawakumtambua kama mgeni mualikwa katika harusi ya kuonana.

Hiyo ni baada ya P-Square kuja katika show yao nchini Tanzania na ukweli huo umeonekana baada ya Peter Okoye kuulizwa uwepo wa Msanii Diamond Platnumz na yeye kudai kuwa hafahamu chochote kuhusu kuwepo kwa msanii toka Tanzania mbali na msanii Daiamond kucheza kwa kukata mauno na katika picha alizopost Diamond alidai kuwa alikuwa akiwaonesha jinsi ya kucheza Ngololo jambo ambalo P-Square hawakufahamu ugeni huo.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa