Mwanzo » » KAJALA ACHANJA MBUNGA NA KANGA MOJA

KAJALA ACHANJA MBUNGA NA KANGA MOJA

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 19 October 2013 | 11:21

KAJALA MASANJA

Ni majuzi tu hata mwaka haujaisha mwanadada mahiri katika tasnia ya Filamu Bongo Kajala Masanja alimaarufu kama KAJALA ambaye ajizolea sifa kem kem katika kucheza movie kali za kibongo pia kuwa miongoni mwa wandada warembo katika tasnia hiyo.

Mjuzi katia alishangaza watu baada ya kuonekana mtaa ya kuswazi akija kajitupia kanga moja na bil ya kuwa na wasi wasi wowote tukio ambalo lilivuta mashabiki wanamjua vizuri kwa mkato yake ya kisasa katika uvaa na kumsogee japo kuja nini kinamsibu mwanadada na kumbe kilichokuwa kikiendelea mpaka kuvaa kwake kanga moko ilikuwa ni katika harkati za kushoot movie yake mpya ambayo kwa vyovyote ilikuwa ikimtaka yeye avae kanga moja ili kuleta uhalisia wa movie hiyo.

Kajala mwenye we alisema kuwa awali alikuwa anaona kama haiwezekani yeye kuvaa vile lakini kwakuwa yeye ni mwanasanaa na ilikuvaa usanii wake anahitaji kubadilika kulingana na mazingira hivyo kuafnya kwake vile ni kwakuwa sanaa inamtaka avae vile na sio vinginevyo hasa aliwataka wadu kuingoja hivyo movie kwa maana humo kabadilika sana na full micharuko kwa ujumla ni picha inayoangazia maisha ya kiswazi moja kwa moja.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa