DIAMOND PLATNUMZ |
Hiyo ni baada ya taarifa za kuwa video ya Diamond Platnumz kuwa video ya kwanza Afrika Mashariki kukamilika kwa kiasi kikubwa cha pesa ambapo kisi cha fedha zaidi ya millioni 45 za kitanzania zilitumika mpaka kukamilisha video hiyo.
Diamond akiwa katika mchakato wa kukamilisha video ya my numbey one remix aliyofanya na mkali toka Nigeria sasa imeanza kupata air play katika vituo vya kimataifa na katika picha ni picha alizozipost msanii Diamond Platnumz za tv wakati vimbo wake ukichezwa.
DIAMOND KUPITIA FACEBOOK ACCOUNT YAKE ALIPOST |
Post a Comment