HARD MAD ''KIDUME MKUSHI'' |
Msanii wa muziki wa kizazi kipya anyepatikana mkoa wa Mwanza ambaye ni hit maker wa mikwaju kadhaa iliwemo 'TUNDA' ameyasema hayo alipokuwa akiongea na mwanhabari toka TIMES FM na alichokijibu baada ya kuulizwa ni kwnaini aliamua kumjibu LADY JAY DEE wimbo wake wa YAHAYA na yeye kuja na ngoma yake inayokwenda kwa jina la 'NAISHI GETO' wimbo ambao katika chorus ameandika uandishi tofauti lakini melody ikiwa imemuata ile ya YAHAYA pia katika verses akiwa kafanya uhandishi wa aina ya rap na ikiwa idea ni kujivunia geto na maisha yanakuaga hivyo kwako kisanaa.
Hard Mad alisema yeye kufanya hivyo sio kumjibu mwanadada LADY JAY DEE bali kufanya kwake vile ni kuleta changamoto na kulichangamsha game la bongo kwasasababu limelala kwa kiasi flani na yeye ni msanii so changamoto sio vita bali ni kufanya burudani izidi kupatikana kama muendelezo wa muziki unaozidi kufanya vizuri katika game.
Post a Comment