Mwanzo » » HOTEL ILIYOCHINI YA MAJI KATIKA VISIWA VYA ZANZIBAR YAWA GUMZO KATIKA VYOMBO YA HABARI KIMATAIFA

HOTEL ILIYOCHINI YA MAJI KATIKA VISIWA VYA ZANZIBAR YAWA GUMZO KATIKA VYOMBO YA HABARI KIMATAIFA

Imewekwa ma Unknown siku Monday, 18 November 2013 | 22:03

 Hii ni hoteli pekee iliyoko visiwa vya Zanzibar inayopatikana chini ya maji inayokwada kwa jina 'MANTA RESORT'' ambayo iko katika mfumo wa kuingiza hewa kupitia mitambo maalum na kut zake ziko katika sura ya kioo kinachoweza onesha upande wapili kitendo kichemuwezesha mtu aliye ndani ya chumba kuona viumbe mbalimbali waishio majini wakipita kama samaki na viumbe wengine wakubwa kama papa.


Gharama ya vyumba vinavyopatikana katika hoteli hiyo ni $900 single room na double ni $1500 na hoteli hii imekuwa gumzo kubwa katika vyombo vya habari kuwa ni hotel ya kwanza barani Afrika kujengwa chini ya maji.


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa