Mwanzo »
» HIKI NDICHO ALICHOKISEMA SOGGY DOGGY KUHUSU BAADHI YA WASANII WANAODHANI MUZIKI NI WA KWAKO
|
SOGGY DOGGY HUNTER |
Rapper muangaikaji anayewakilisha mkoa wa Kagera kama mwenye uwezo kama mtangazaji na mchanji aliyeachia ngoma yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina ''HAINAJINA'' FT ABBAS KUBAFF & UKOO FLANI MAUMAU pia ambaye utunzi wake sikuzote uwa na mashiko na ni mtiririko flani hivi wa ngoma zenye story kaka ''STORY'',''KIBANDA CHA SIMU'', muite CHIEF RUMANYIKA a.ka SOGGY DOGGY HUNTER ameyasema hayo alipoulizwa anaujumbe gani kwa mashabiki na wadau wote wa muziki wa kizazi kipya ndipo alipofunguka.
Katika maelezo yake mafupi alichokisema Soggy alimaanisha kuwa siku zote mwenye kipaji ndiye mtu mwenye mamlaka ya kusikilizwa katika game na cha zaidi katika kuitafuta maana ya alichokisema ni kwamba wanaodhani kuwa wao ndio wao katika muziki waliokwisha sikika ni wakati wao kukaza nasio kujilegeza kwa imani ya kudhani tayari wao wako katika hatua nzuri kwani katika umri haujalisha bali kipaji na ubunifu ndio point ya msingi.
Post a Comment