Mwanzo » » MUHIMU: E-MAIL YA BIASHARA NA ACCOUNNT YA TWITTER YA A.Y ZIMEHACKIWA

MUHIMU: E-MAIL YA BIASHARA NA ACCOUNNT YA TWITTER YA A.Y ZIMEHACKIWA

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 20 November 2013 | 14:24



A.Y- PIA UNAWEZA KUMPIGIA KURA KATIKA TUZO ZA CHANNEL O

HIKI NDICHO KILICHOPOSTIWA A.Y BILA KUJUA JAMBO LILILOMPA WSIWASI NA KUGUNDUA KUHACKIWA KWA ACCOUNT YAKE.
Msanii toka Tanzania anayewakilisha vizuri katika game la muziki wa kizazi kipya Ambwene Yessaya ''A.Y'' account yake ya twitter na e-mail yake zimeonekana kuhackiwa ambapo yeye alishangaa kuona account yake ya twitter kuonekana imepost kitu ambacho yeye hakujua chochote kuhusu kilichoandikwa na na pia kupitia e-mail alishangaa baada ya kuona e-mail ametuma jumbe za kuoma msaada wa kifedha kitendo mabacho yeye hakukifanya hivi kuna mabo kadhaa mabyo yanaweza kumcost A.Y katika account za wasanii bongo yeye ndiye msanii pekee ambaye account yake ya twitter ilikuwa imekuwa verified kama moja ya utaratibu wa watu maafuru wanaomiliki account za mitandao kuhakikiwa kuwa ndio account zao za kweli kuepuka usumbufu wa baadhi ya watu wanaofungua account za uongo za watu maarufu.

Sasa maswali ambayo tunabaki anyo ni nini atafanya msanii A.Y ili kuondokana na watu waliohack account yake ya twitter na e-mail yake??

either afungue account nyingine au aendelee kuitumia kitu ambacho kinaweza kumcos ni kuweza kufungua account nyingine na aweze kufikisha ahtua ye kuwa verified kuwa ni ya kwake na kama ataendelea kutumia hiyo hiyo basi bado walio hack watazidi kumsumbua kwa kutuma habari za uongo kwa manufaa yao.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa