BERRY WHITE |
MUONEKANO WA GARI LILILOUNGUZWA |
Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayeiwakiliza Zanzibar ambaye amewahi kuwa mmoja wa member wa kundi lililovunjika miaka kadhaa ambapo yeye na Berry Black walikuwa wakikamilisha kundi lililokuwa likijulikana kama TWO BERRY alifanya tukio hilo la kuchoma gari baaya ya kupata hisia za binti ambaye wako katika mahusiano na yeye kuwa kalamba asali na mtu mwingi na kuchukua maamuzi ya kuchoma gari lake.
Kwa taarifa zaidi kuhusu nini kitaendelea kuhusiana na tukio hili tutakujuza kwa maana tukio hilo sio la kawaida na kama sio gari basi hata angeweza kumzuru binti yule na kishria ni kosa hivyo tunatazamia jambo lolote kisheria kuchukua mkondo.
Post a Comment