Rapper Ney wa Mitego msanii ambaye ni miongoni mwa idadi ya wasanii Bongo wanaotengeza pesa kupitia muziki wa kizazi kipya na ambaye amekuwa katika uasimu na baadae kusema kuwa mpaka sasa hana tena tufauti na Rapper Chid Benz na kuweka wazi kuwa kwasasa utofauti alionao kati yake na Madee ni wa kibiashara tu na sio vinginevyo.
Ney ameongeza kuwataja wasanii anaowakubali kutoka nchini Kenya na angetamani kufanya nao kollabo alipokuwa akijibu maswali katika interview kupitia kituo cha radio cha nchini Kenya ikiwa list ya wasanii aliowataja ni pamoja na Avril na Sanaipei kwa wasanii wa kike na kuweka wazi kumkubali msanii wa kiume Mejja.
|
AVRIL Kama haumfahamu Avril ni msanii aliykumbwa na skendo ya kusagana na wasachana ambaye pia mbali na kujulikana kama msanii wa kuimba pia ni actress nchini Kenya ambaye amewahi hit kwa ngoma iliyokwenda kwa jina 'CHOKOZA'' |
|
SANAIPEI Kama haumfaham sanaipei ni msanii aliyefanya vizuri kupitia wimbo wake wa kipindi cha nyuma uliojulikana kama Kwaheri aliomsgirikisha Jua Kali. |
Alipojibu kuhusu wasanii anaowakubali kutoka Kenya wakiume wanaofanya Hip Hop hakusita kumtaja Rabbit Kaka Sungura na Octopizzo na kuwapa sifa juu ya uwezo wao na kudai kama akifanikisha kufanya kazi nao ni wazi atajisikia poa sana kwani anakubalisana kazi zao na uwezo wao pia.
|
RABBIT KAKA SUNGURA Kama haukuwa ukifahamu Rabbit ni kuwa ni muandishi mzuri wa mashiri na pia anakipaji cha uandishi wa vitabu ambaye kwasasa anafanya vizuri na wimbo wake unaokwenda kwa jina ''LIGI SOO'' |
|
OCTOPIZZO ''NAMBA NANE'' Kama haukuwa ukimfahamu Octopizzo ni kuwa niimsanii mwenye jina kubwa nchini Kenya na kutokana na jina na mafanikio amejkkuta akiingia katika skendo ya kuwa yeye ni miongoni mwa wanachama wa dini za kishetani ''ILUMINATI'' |
Post a Comment