Mwanzo »
Ndani ya bongo
» PETER MSECHU NA NEY WA MITEGO WAINGIA BIFU KALI NAKULA UJANA YADISSIWA,NEY AJIBU SHAMBULIZI.
|
PETER MSECHU |
|
NEY WA MITEGO |
Msanii aliyepata jina kwa kuwachana wasanii katika nyimbo zake bila kuwaogopa Ney Wa Mitego amejikuta katika bifu na msanii aliyewahi kuiwakilisha Tazania katika mashindani ya vipaji vya kuimba huko nchini Kenya katika ''PROJECT FAME'' PETER MSECHU ameanzisha bifu kali na Rapper baada ya kudiss mimbo mpya wa Ney na kusema kupitia kursa wake wa instagram kuwa Ney kasanda na kinachofuata Ney ataimba mduara na pia kama Ney ataimba Dance aje kuwa Dancer wa Msechu katika Band ya MSECHU BAND.
|
HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA MSECHU KILICHO ASHILIA BIFU YEYE NA NEY |
Post a Comment