NELSON MANDELA |
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela mwenye umri wa miaka 95 kwasasa ameendelea kusumbuliwa na maradhi ambapo tangu awali kipindi cha hivi karibuni alicho lazwa miezi mitatu mfululizo aliuguza maradhi ya mapafu mjini Pretolia ya Afrika Kusini,Taaria kutoka kwa aliyekuwa mke wake wa zamani Bi. Winnie Madikizela Mandela asema kuwa Rais wa zamani Nelson Mandela anaumwa sana na anawasiliana na watu kupitia teknologia ya video na aliongeza kusema kuwa taarifa za watu wanaodai kuwa anapumua kwa kutumia vifaa maalum sio za kweli na hali yake imekuwa ya kubadilika hivyo wanajawa na wasi wasi.
Post a Comment