SAJNA |
Akijibu maswali ya walio na kiu ya kutaka kujua ni nini kimesababisha kuondolewa kwake chini ya label hiyo Sajna pia naye alidai ni mambo binafsi lakini kuwa nje ya TETEMESHA REC haimaanish hawezi kufika pale kusema kuwa KID BWOY ni kka yake kwa maana kuwa amemsaidia muda mrefu kiasi cha yeye mpaka kujulikana katika ame na pia akongeza kusema kuwa kama akihitaji kufanya kazi TETEMESHA anaweza kufanya na mambo mengine kikazi ikiwemo ushuri pia anaweza kuupata kutoka pale.
Akijibu swali la kuwa kwasasa yuko chini ya label yoyote alisema kuwa kwasasa anajisimamia mwenyewe na pia ndani ya ushirikiano wake na familia yake anaamini mambo yataenda sawa.
Post a Comment