Mwanzo » » JANUARY MAKAMBA AMKARIBISHA ZITTO KABWE NDANI YA ''CCM''

JANUARY MAKAMBA AMKARIBISHA ZITTO KABWE NDANI YA ''CCM''

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 23 November 2013 | 18:33

JANUARY MAKAMBA
Baada ya kusambaa kwa taarifa za kuwa Zitto Kabwe ba DK. Katilia ambapo imeonekana katika jopo lolote la kichama na wanapokuwapo vichwa hivi viwili hakuna hoja ya manufaa binafsi inayosupportiwa na wao hivyo kutokana na misimamo yao na uchunguzi wa kila kabla ya jambo lolote kutendeka inawezekana ni moja ya sababu zilizowasababishia wao kuondelewa na kuvuliwa nyzifa walizokuwa nazo katika chana cha Demokrasia na Maendelea CHADEMA na January Makamba ambaye ni Naibu waziri wa mawasiliano,Sayansi na Teknolojia ambaye pia ni mwanachama halali wa chama tawala cha CCM kupitia mtandao wa twitter ameonekana akimtweet Zitto Kabwe kuwa ''kama wenzako hawathamini kazi kubwa uliyofanya kukijenga chama chenu na kazi unayofanya Bungeni,karibu CCM tuijenge nchi'' Makamba alisema.katika tweet yake kwenda kwa Zitto.


POST YA JANUARY MAKAMBA AKIMKARIBISHA ZOTTO CHAMA TAWALA CCM
ZITTO KABWE

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa