VICENT KIGOSI -RAY THE GREAT |
SURA YA JESUS NI MOJA YA TATOO ALIYOJICHORA KKATIKA MWILI WAKE |
Masanii ambaye ni wazi amesota sana tangu zamani kutimiza malengo yake katika kazi ya sanaa ya kuigiza Viceny Kigosi Maarufu kama RAY kwa sasa nazidi kumake deal kadhaa na kuendeleza sanaa ya Bongo ya kuigiza na kuipeleka mbali hata kimataifa kwasasa amekuja katika muonekano tofauti kwa mwili wake kama unavyoweza kuona katika picha.
Post a Comment