Mwanzo » » BREAKING NEWZZZZ...''T.I.D'' ASWEKWA MAHABUSU KWA KOSA LA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.

BREAKING NEWZZZZ...''T.I.D'' ASWEKWA MAHABUSU KWA KOSA LA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 30 November 2013 | 12:50

TOP IN DAR ''T.I.D''
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Khaleed Mohamed alimaarufu kama 'T.I.D'' amejikutwa akilazwa mahabusu kituo cha polisi Osterbay tangu jana usiku kwa kosa la kumtembezea kichapo kikali na kumjeruhi Binti kwa madai ya kushindwa kuelewana kimahusiano binti alisadikika kuwa ni mpenzi wake kwa jina Mariam Nnauye.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa