SHISHI BABY ''SHILOLE'' |
Mamaa wa mauno huyo Shilole ameamua kufanya comedy kama moja ya njia ya kuimarisha sanaa yake na kujizolea mashabiki wa kila aina baada ya kuwa amepata mashabiki kibao katika jukwaa kwani akiwa jukwaani anakomaa na kiuno chake kuwapa raha mashabiki audhuriapo shows zake.
Post a Comment