Mwanzo » » SNURA ANAKUJA NA ''USHAHARIBU'' BAADA YA MAJANGA NA KUVURUGWA

SNURA ANAKUJA NA ''USHAHARIBU'' BAADA YA MAJANGA NA KUVURUGWA

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 30 November 2013 | 12:30

SNURA
Msanii aliyejulikana kama mkali katika tasnia ya Movie Bongo aliyefanya vizuri na ngoma yake inyokenda kwa jina ''Majanga'' na baadae akachia ngoma niyokwenda kwa jina ''Ninevurugwa'' na sasa jikoni kuna muendelezo wa Kuvurugwa ambapo anadai kuwa ukisha vurugwa basi kinachofuata ni kuharibi na hivyo basi  mkono utakweda kwa jina ''USHAHARIBU'' so wadau wa muziki wa Snura stay Tune.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa