1. LADY JAY DEE
NI MSANII MWENYE HESHIMA SANA TANZANIA KUTOKANA NA KUJIHESHIMU KWAKE,KAPATA MAFANIKIO SANA KATIKA KAZI ZAKE ZA MUZIKI NA KUWEZA KUWA MFANO WA KUIGWA KWA WASANII WENGINE.KWANI UCHAPA KAZI WAKE NDO SABABU YA MAFANIKIO YAKE KIMAISHA.
MALI ANAZOMILIKI NI PAMOJA NA -GARI AINA YA MURANO THAMANI YA
TSH.MIL 45, BASI AINA YA COSTA TSH.MIL.30, PRADO, NYUMBA NZURI YA KISASA,PAMOJA NA MGAHAWA WA NYUMBANI LONGE WENYE THAMANI YA ZAIDI YA TSH.MIL.150 PIA ALIANZISHA MAJI YAKE YA JAY DEE AMBAYO BAADAYE YALIZUIWA.
|
NYUMBANI LONGE KWA NDANI |
|
MAJI YA JAY DEE |
|
NYUMBA YA KISASA ANAYOISHI |
|
BASI KWA AJILI YA BAND YAKE YA MACHOZI BAND |
2. DIAMOND
NI MSANII ALIYE LETA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA MUZIKI HASAHASA KATIKA SHOW ZA STEJINI YAANI LIVE PERFORMANCE .NI MSANII ANAYE LIPWA PESA NYINGI KWA SASA TANZANIA KWA SHOW MOJA ANAYO FANYA.PIA NI MSANII MWENYE SHOW NYINGI KWA MWEZI KULIKO WOTE,.HII IMECHANGIA KUWEZA KUPATA PESA NYINGI KATIKA MDA MFUPI.ANAMILIKI NYUMBA KADHAA,VIWANJA,MAGARI,MADUKA.
|
GARI ANAYO MILIKI YENYE THAMANI YA TSH.MIL 60 |
|
GARI ALIYO KUWA ANATEMBELEA MWANZO |
3.AY
AY NI MSANII MKIMNYA SANA NA HUWA HAWEKI MAMBO YAKE HADHARANI SANA HASAHASA YA MAISHA YAKE.LAKINI NI MSANII MWENYE PESA NYINGI KUTOKANA NA KUFANYA SHOW NYINGI ZA KIMATAIFA ZINAZO MPATIA PESA NYINGI.ANAMILIKI MAGARI,ANA DUKA LA NGUA,PIA ANA NGUO ZAKE MAALUMU ZENYE NEMBO YA JINA LAKE.
4.PROF J
NGULI WA MUZIKI WA BONGO FLEVA TANZANIA,ANAFANYA SHOW NYINGI ZA NJE,NI MSANII AALIYE DUMU KWA MDA MREFU,ANAMILIKI NYUMBA YA KISASA YA ZAIDI YA TSH.MIL 100, ANAMILIKI GARI,MASHAMBA
|
PROF.J |
|
NYUMBA YA PROF J |
|
MBELE YA NYUMBA |
|
AINA YA GARI ANAYO TEMBELEA |
|
KWA NDANI |
|
KWA NJE |
5.JUMA NATURE
MSANII WA SIKU NYINGI KATIKA GEMU,KWA JINA JINGINE NI MKONGWE KATIKA MUZIKI WA TANZANIA HUU WA KIZAZI KIPYA,ANAMILIKI GARI,MASHAMBA,PIA NI MFANYA BIASHARA ,ANAMILIKI NYUMBA
Post a Comment