|
LADY JAYDEE |
Mwandada komando Judith Wambura alimaarufu kama Lady JayDee ambaye amekuwa kioo cha akina ddaa wengi wenye ndoto z kuwa wanamuziki kama yeye na mwandada nguli wa muda mrefu katika muziki wa bongo fleva na hit maker wa ngoma nyingi za mafunzo kama ''Yahaya'' na ''Historia'' ambazo ni hot cake kwasasa sasa anazidi kujiweka vizuri ili kuwa tayari kwa lolote la kumkabili aweze kukabiliana nalo kwa kuwa kwa sasa anapata mafunzo ya Karate kwa kuwa leo kupitia account yake tta Facebook amepost picha akiwa ndani ya vazi la mafunzo ya karate na akiwa miongoni mwa wanadarasa wenzake katika mpangilio wa darasa.
Zitazame picha za mafunzo yake katika mavazi ya darasa...
Post a Comment