Mwanzo » » YOUNG KILLER: MIMI NI MUISLAM NILIYESOMA SHULE KWA JINA LA KIKRISTO

YOUNG KILLER: MIMI NI MUISLAM NILIYESOMA SHULE KWA JINA LA KIKRISTO

Imewekwa ma Unknown siku Sunday, 24 November 2013 | 21:23

KASSIM YUSUPH ''YOUNG KILLER''
Rapper anayeaminika na ambaye ameshaonekana katika macho ya wadau wa muziki wa kizazi kipya hip hop Bongo ambaye anajulikana kama YOUNG KILLER kwasasa na ambaye mwanzo alikuwa akijihita LIL K.

Team ya habari ilimtafuta YOUNG KILLER ikitaka awajuze mashabiki mambo ambayo kuna uwezekano mkubwa mashabiki hawafahamu chochote kuhusu yeye either ndani au hata nje ya muziki wake kwani wadau wangependa kuyafahamu machache kuhusu yeye.

Akitoka mtiriko wa manone kisanaa na mbwembwe za kisanaa alisema kuwa waliowengi walianza kumfahamu katika muziki wa kizazi kipya yaani hip hop anayoifanya kipindi cha miaka kama miwili hivi kama sio mitatu baada ya kuonekana kuwa amefanya vizuri na hata kuibuka mshindi katika shindano la kumtafuta super nyota.

Mazungumzo yakiendelea ni alishare na mzungumzaji aliyekuwa akifanya mazungumzo kuwa yeye ukweli kuhusu jina alilonalo ni kuwa wapo aliokuwa wakifahamu kama ERICK THOMAS jina mbalo katika mistari kadhaa uwa anadai kuwa kapewa na mama yake mzazi lakini ukweli ni kuwa jina lile alilipata katika maisha ya shule ambapo kipindi anaandikishwa darasa la kwanza alikuta shule husika imejaa na jina ambalo lilikuwa limeandikwa kama ERIC THOMAS lilikuwa halina mtu kwasababu ambazo hazikutajwa na YOUNG KILLER akapewa hiyo nafasi aya jina la mtu ambaye hakuwa akionekana shule kwa muda.

Jina halisi la kupewa na wazazi ni KASSIM YUSUPH jina ambalo hata katika kukua kwake alikwa halijui lakini alifika hatua ya kutamubua alitambua ukweli wa jina lake na waliosoma naye walimfahamu kwa ina la ERICK THOMAS na mwisho aliamua kuanza kujiita LIL K kumaanisha kuwa ''K'' ilisimama kama herufi ya kwanza ya jina lake la kupewa na wazazi la KASSIM na baayae kulibadilisha na kuaza kujulikana kama YOUND KILLER.


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa