Mwanzo » » LULU: MIMI NA ALLY KIBA ILIKUWA ZAMANI,MAGAZETI ACHA UDAKU.

LULU: MIMI NA ALLY KIBA ILIKUWA ZAMANI,MAGAZETI ACHA UDAKU.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday, 24 November 2013 | 19:25

ELIZABETH MICHAEL 'LULU'
Msanii wa Bongo Movie Elizabeth Michael alimaarufu kama LULU ameyasema hayo alipokuwa alizungumzia stories za magazeti yanayomsema kuhusu habari mbali mbali za matukio ambayo yeye kama yeye anayaona ni uongo na njia za kibiashara tu.
ENZI ZA MAPENZI YA LULU NA ALLY KIBA


N a kuhusu mahusiano yake aliongezea amesema kuhusu mahusiano katika yake na msanii wa bongo fleva Ally Kiba ni kuwa ni kweli yeye na Ally wamewahi kuwa katika mahusiano lakini ilikuwa ni zamani ila kwasasa yuko single na amekiri kuwa mapenz yanauma lakini kuachana kwake na Ally ni sababu zake binafsi kwani mapenzi yana taba moja kuwa ukiyag'ngania hasa pale ambapo hauenjoy mwisho wake ni kuumizana tu so huwa inafika ti,e mtu unala mbele tu kwani kudate mastar kuna changamoto zake pia.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa