Belle 9 amewel wazi kuwa kuwa katika muziki wa kizazi kipya wa bongo umekuwa na changamoto hivyo katika kuhakikisha anboost muziki wake imempelekea kuunganisha muziki wa Kenya na Tanzania kwa kufanya kollabo na Wayre chini ya Homeboyz Production na mtayarishaji Sappy hivyo wadau wa muziki wa Bongo kaeni tayari kupokea mzigo toka kwa Belle 9 ft Wayre unaotazamiwa kutoka mwakani 2014.
Published with Blogger-droid v2.0.10
Post a Comment