|
PAUL WILLIAM WALKER 1973-2013 |
|
GARI LILIHARIBIKA VIBAYA KAMA UNAVYOWEZA KULIONA KATIKA PICHA |
|
MSEMAJI WA PAUL WALKER ALITOA TAARIFA ZA KIFO CHA PAUL WALKER KUPITIA UKURASA WA FACEBOOK WA PAUL WALKER |
Ni mzaliwa wa tarehe 12 mwezi September 1973 na umauti umemkuta tarehe 30 Mwezi wa November mwaka 2013 kwa ajli ya gari la rafiki yake wakielekea katika tukio la utoaji msaada kaskazini mwa Los Ageles ambapo gari hilo lilipata ajali na vyombo vya isalama vilipofika eneo la tukio ni miili miwili tu iliyokuwa katika gari wakiwa tayari wamefaiki dunia.
Muigizaji huyu alianza kujulikana mwanzoni wa mwaka wa 1999 kupitia movie iliyofanya vizuri iliyojulikana kama ''Varsity Blues'' na baadae kujuikaa zaidi na zaidi katika movie aliyocheza kama main character(Staring) katika movie ya
''The Fast and the Furious'' na nyinginezo nyingi kama Eight Below, Into the Blue, She's All That, and Takers kwa wale wafatiliaji wa movie mtakuwa mnazifahamu hizi movie kama kazi aliyokwisha ifanya Paul Walker mpaka muti yanamfika.
Post a Comment