|
BRANDINA CHAGULA-JOHARI |
Muigizaji Brandina Chagula maarufu kama Johari taarifa zinasema kuwa anaumwa na mpaka sasa kupitia taarifa alizozitoa muigizaji mwenzake Deugratius Shija amesema kuwa ni kweli Johari anaumwa na yeye na ndugu wa karibu wa Johari wamekataa kuweka wazi ni hospitali gani Johari amelazwa kuepuka usumbufu wa waandishi wa habari na mashabiki wa kazi za johari kufika hospitali.
Hivyo basi watanzania tunaihitaji kumuobea Johari ili apona...mapema.
Post a Comment