YOUNG DEE |
Msani Young Dee ameonekana kuwa mkombozi baada ya klipa deni la shiling million 8 za kitanzania deni ambalo wakuwa wakidaiwa tangu mwaka 2008 na sasa nyumba abayo ilibidi iuzwe kulipa deni hilo iko mikononi mwa familia.
Hongera kwake na familia yake pia.
Post a Comment