|
CHISMO BROWN
|
Baada ya kuachia ngoma inayokwenda kwa jina chuchuchu Chismo Brown sasa akiwa kamshirikisha Binti mwanamitindo Jokate Kidoti na ngoma itakwenda kwa jina ''TTWENDE NYUMBANI'' ikiwa ni chini ya utayarishaji wa Producer: Aro name/ Kwanza Music so within Seven guys stay Tune kwani mzigo utaachiwa.
|
CHISMO Ft. JOKATE KIDOTI-TWENDE NYUMBANI COMING SOON... |
Post a Comment