Mwanzo » » RIYAMA ASEMA: WASTARA NAMKUBALI NA ANALIA ZAIDI YANGU.

RIYAMA ASEMA: WASTARA NAMKUBALI NA ANALIA ZAIDI YANGU.

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 21 February 2014 | 09:14

RIYAMA ALLY
Riyama Ally alimaarufu kama Riyama binti aliyepata umaarufu kwa kulia na kugiza kwa umakini baadhi ya vipande kwa ufanisi amefunguka na kusema mbali na yeye kuwa na uwezo wa kuigiza vipande vya uzuni katika tasnia ya Bobgo movie anamkubali sana Muigizaji Wastara kwa kuwa Wastara ni muigizaji mzuri zaidi hasa katika filamu za uzuni na hasa pindi inapomlazimu kulia basi hapo ndipo Wastara ucheza kwa hisia zote.

Wastara akiwa mbele ya Camera ikiwa ndani ya maigizo  ya kipande cha uzuni

Wakati mwingine anapokuwa akiigiza Wasatara vipande vya uzuni kwa mtazamaji ni ngumu kuwa na fikra za kuwa Wastara anaigiza bali waliowengi upatwa na hisia za kweli na pia kuingiwa na uzuni kitu ambacho kinadhihirisha umahiri wa Wastara na kinampatia credity nyingi kwa wanojua ugumu wa kuigiza jambo na ukaliweza kama hauna kipaji lakini ni wazi watu ukubali kuwa Wastara ana kipaji kilichokomaa.



Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa