|
WIZ KID |
Katika mtandao wa kijamii wa Twitter wasanii wamekuwa wakisambaza habari zao na kushare mambo mbalimbali kwa kuwa kwasasa ndio mtandao ya kijamii ni njia rahisi ya kufikisha ujumbe kwa haraka zaidi na WizKid amekuwa msanii ambaye anaweza kusambaza ujumbe kwa watu millioni mmoja kupitia mtandao wa Twitter baada ya kutimiza wafuasi millioni moja katika mtandao wa Twitter akiwa wa kwanza kati ya wasanii maarufu toka Nigeria na kuwaacha wasanii wakubwa waliomtangulia kupata majina Nchini Nigeria.
|
Twitter Account ya Wiz Kid |
Ikiwa anafuatiwa na wasanii wengine kama D'Banj amapo D'Banj anawafuasi (816K) na mwingine ni Don Jazzy(719K) na mugizaji maarufu wa kike Genevieve Nnaji(542K) ambapo hao wote kwa kusikika katika game wamemtangulia WizKid lakini hali imeonekana kuwa wadau wa Burudani wamemulewa zaidi Wiz kuliko wengine kupitia Twitter.
Post a Comment