|
Young Killer Msodoki |
Msanii menye umbo dogo na mwenye punch kali katika Tasnia ya Bongo Hip Hop Eric Thomas Msodoki alimaarufu kama Young Killer Msodoki baada ya kuachia ngoma yake ambayo ilikuwa ni idea ya kurudia kwakuwa awali alisha ifanya ila katika kuiridia aliiridia katika idea ile ile ila tu kubadilisha baadhi ya watajwa na style ya uandishi iliwa ni idea ya kuwataja mastar wa kike ambao angependa kuwa nao katika mahusiano ila kuna vikwazo kadhaa vinamsababishia yeye kuhairisha azimio lake ngoma iliyozua gunzo na watu baadhi kuanza kujiuliza video itakuwaje.
Sasa inaonekana tayari mpango wa video umekamilika na kupitia account yake ya mtandao wa picha na ule wa facebook alitoa taarifa za kuwa hivi karibuni yaani ndani ya week hii au ijayo video itaachiwa rasmi hivyo wadau wake mkao wa kula...
Post a Comment