Mwanzo » » KAJALA BAADA KUPONA TUKIO LA KULA SUMU,HIKI NDICHO ALICHOKISEMA.

KAJALA BAADA KUPONA TUKIO LA KULA SUMU,HIKI NDICHO ALICHOKISEMA.

Imewekwa ma Unknown siku Monday, 24 February 2014 | 22:22

KAJALA MASANJA
Msanii wa Bongo movie ambaye amkuwa ni rafiki wa karibu wa mwadada Wema sepetu Kajala Masanja maarufu kama Kajala jana siku ya jumapili siku ambayo Msanii Emmanule Simwinga alimaarufu kama Izzo Bizness(Izzo B) alikuwa na show iliyopewa jina la Usiku wa Love na Tummoghele ambapo alisndikizwa na wakali kibao akiwemo Juma Jux,Shaah,Barnaba,Quick Rocker,Roma,Recho,Snura,Mirror,Gosby na wengine wengi iliyofanyika katika ukumbi wa Club 71 ambapo kati ya mastar wa Bongo Movie waliofika katika show hiyo alikuwepo Kajala kama mshereheshaji katika show hiyo.


Akiwa katika show hiyo alipatwa na hali isiyo ya kawaida ambapo ilijisikia vibaya na kuomba apelekwe nyumba na mwisho hali ikazidi kuwa mbaya na Kajala alipelekwa hospitali kisha baada ya kufikishwa hospitali  mganga alimchukua vipimo na matokeo ya vipimo yalionesha kuwa hali aliyokuwa nayo Kajala ilisababishwa na kunywa kinywaji chenye sumu ambapo alipata matibabu na kurudi nyumbana na sasa anaendelea vizuri.

Hiki ndisho alichokiandika KAJALA kuhusu tukio la yeye kula kitu chanye sumu.



POLE KWA KAJALA KWA TUKIO HILO LILILOKUWA LA KUHATARISHA MAISHA YAKE.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa