|
LADY JAYDEE |
Msanii nguli wa kike wa muziki wa kizazi kipya Judith Wambura alimaarufu kama Lady JayDee amepatwa na msiba siku ya juzi wa kufiwa na Dada yake Lucy na mpaka sasa msiba uko nyumbani kwake na mwili wa marehemu utasafirishwa siku ya kesho kama mambo yatenda kama yalivyo pangwa kwenda mkoa wa Mara nyumbani kwao na Lady JayDee kwa mazishi.
|
PROFESSA JAY AKIWA MSIBANI |
Pole kwa mwadada Lady JayDee na familia nzima kwa ujumla kwa pigo la msiba,Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..AMEN.
Post a Comment