RAIS MSEVEN AKITIA SAINI. |
Nikatika Hafla iliyofanyika nyumbani kwa Rais Mseven ambapo alitumia nafasi hiyo pia kutia saini mswaada kuwa sheria na sheria hiyo inamtia hatiani mtuhumiwa kushiriki mapenzi ya jinsia moja na kama atabainika kuwa na kosa basi atahukumiwa kifungo cha miaka 14 na kifungo cha maisha kwa atakaye bainika tena kwa mara nyingi kutenda kosa la namna hiyo bila kujali kama washiriki wa mapenzi ya namna hiyo kukubaliana.
Pia watakao husisha watu wenye ulemavu na matatizo ya akili pia sheria itawahukumu vile vile.
Chanzo BBC Swahili.
Post a Comment