Mwanzo » » NCHA KALI AMUANDIKIA DINA MARIOUS UJUMBE MZITO BAAYA YA KUMPATIA MTOTO.

NCHA KALI AMUANDIKIA DINA MARIOUS UJUMBE MZITO BAAYA YA KUMPATIA MTOTO.

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday, 18 February 2014 | 21:06

Ncha Kali na Dinah Marious
Msanii na pia aliyewahi kuishi maisha kama mtangazaji na kujizolea umaarufu kupitia kituo cha matangazo na Cloud Fm na bila kumsahau yule mwana dada pia maarufu kama Dinah Marious ambao kwa kuda wamekuwa wapenzi na hawakuwa wameweka wazi sana ila tu walikuwa wakiendesha maisha yao yamahusiano kimya kimya na ni wachache walikuwa na taarifa kamili za mahusiano yao.


Kwakipindi kirefu Wapenzi hawa wamekuwa wakifanya mambo yao kimya kimya na Baada ya Kimya kirefu cha Dinah kutosikika katika kipindi chake cha ''Leo Tena'' na ukimya huo ulikuwepo kwasababu alikuwa mapumzikoni kwa ajili ya kupumzika na kujihudumia kama mama kijacho na mwisho Masaa kadhaa Dinah ametoa taarifa za kupata mtoto baada ya kupost habari mtandaoni.

Hiki ndicho alichokipost...


Baada ya Tukio l wenza hao kupata mtoto basi Ncha Kali kwa muda alikuwa kimya na mwisho akafunguka ujumbe mzito kutoka kwake na kupeleka ka kipenzi chake Dinah Marious na hapa chini hiki ndicho alichokiandika....

Kwa chini ya ujumbe huo toka kwa Ncha Kali kuliambatanishwa picha ya mtoto wao.

Hongera kwao

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa