Mwanzo » » JUMA NATURE AONDOA UTATA KUHUSU YEYE KUMCHNA DIAMOND PLATNUMZ

JUMA NATURE AONDOA UTATA KUHUSU YEYE KUMCHNA DIAMOND PLATNUMZ

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday, 18 February 2014 | 21:21

Juma Nature
Msanii mkongwe katika tasnia ya Rap Bongo maarufu kama Rap Katuni ambaye amesimama kama Nguli wa muziki huo ameondoa utata wa ngoma yake mpya aliyofanya na mwanadada nguli pia hapa bongo kwa wasanii wa kike katika wimbo walioshirikiana inayokwenda kwa jina ''kama jana''.


Rapper Nature ameondoa kwa kusema kuwa kwa waliokuwa wakidhani kuwa yeye amemchana Diamond Platnumz kwa kufananisha jina la Dada Mondi na Diamond na kesema kuwa kwa ufupi tu kuwa sio kweli kuwa alimmaanisha Daimond na kuweka wazi kuwa Dada Mond ni msanii mchnaga anayechipukia katika game na kwakuwa amekuwa karibu naye na moja ya tabia kuu ya msanii huyu Dada Mond ni kupenda kujisifia na ndo maana ameamua kumuimba namna hiyo nasio kama waliowengi walivyokuwa wkaidhani.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa