|
MTAYARISHAJI C9 |
Mtayarishaji ambaye Charles Francis a.k.a C9 ambaye kuanza kwake muziki ameanza mnamo mwaka 2004 lakini ameonekana kufanya miaka ya 2012 ameweka wazi kuwa hivi katika moja ya ndoto zake katika muziki ni kuleta mabadiliko makubwa kwa asilimia kadhaa amefanikisha lakini kuna mengi zaidi ambayo ameyapanga na miongoni mwa yaliyo katika mipango ni kufungua shule ya muziki.
Mipango ya Myatarishaji C9 ni kufungua shule ya muziki ambayo itafundisha muziki kuanzia kuimba na kutayarisha ambapo amesema kuwa wanafunzi wataweza kufanya masomo kwa vitendo kama kuproduce ikiwa hilo wataweza kulifanya studio kwakuwa C9 anamiliki studio za C9 ambazo chini ya umiliki wake.
Post a Comment