Pia kwa mujibu wa Takwimu inasmekana kuwa zaidi ya Tani elfu Ishirini na Mbili(22,000) uweza kupingizwa ikiwa Zanzibar kuonekana kuwa ni kituo cha kupitishia madawa kutoka Afghanistan na Tanzania imekadriwa kuwa na zaidi wa waathirika 250,000 alimaarufu kama mateja na kama ulinzi hutadumisha idadi ya waathirika inaweza kuongzeka zaidi na kuathiri uchumi wa Taifa na nguvu kazi ya Taifa kushuka zaidi.
TAZAMA MAKALA HII YA MADAWA YA KULEVYA.
Post a Comment