Mwanzo » » RnB SINGER LAMECK DOTTO NI MKULIMA NA MFUGAJI MKUBWA.

RnB SINGER LAMECK DOTTO NI MKULIMA NA MFUGAJI MKUBWA.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 20 February 2014 | 16:51

LAMECK DITTO
Msanii Dotto Benard Byakeya alimaarufu kama  Lameck Ditto amesema kuwa muda si mrefu wadau wake wa muziki na wapenzi wataanza kufurahia juice tamu ya matunda ya Nanasi abapo kwa sasa anailiki Heka kadhaa zinazopatoana Baganoyo ambapo ameamua kuwekeza katika aridhi mbali ya kuwa kama msanii wa muziki wa Bongo Fleva.


Dotto maekuwa mjasiliamali na mbali nakuweka wazi kuwa anamiliki heka hizo za shamba la mananasi huko Bagamoyo pia ni mfugaji wa wanyama wa Biashara ambapo ni darasa kubwa saba kwa wasanii wanaojiuliza nini cha kufanya pindi wapatapo pesa.

Ditto Shambani

Ditto ndani ya Banda la Mifugo



HAKIKA HUU NI MPANO WA KUIGWA HASA KWA WASANII WANOKIMBILIA KUNUNUA MAGARI PINDI WANAPO PATA PESA 
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa